Swahili - BBC News Swahili (original) (raw)

Habari Kuu

Mkufunzi wa Inter Milan Simone Inzaghi anafikiriwa kuchukua mahala pake Erik ten Hag, Arsenal watamenyana na Real Madrid kumuwania beki wa Brazil na Liverpool wanamtaka Aurelien Tchouameni.
1 Oktoba 2024

Michezo

Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani

Sikiza / Tazama

Gumzo mitandaoni

Licha ya kujitolea kwa kazi hii, anasema malipo yake ya kila mwezi ya zaidi ya dola 100 hayajabadilika kwa miaka. Haitoshi kukabiliana na hali mbaya ya gharama ya maisha nchini Kenya, ambayo imeongeza bei ya bidhaa muhimu za nyumbani kama vile mahindi, ngano, mchele na sukari.
27 Septemba 2024

Siku ya Jumatano, mkuu wa majeshi ya Israeli aliwataka wanajeshi wake kujiandaa kwa "uwezekano wa kuingia " nchini Lebanon, wakati jeshi la Israeli lilitangaza kwamba limeita vikosi viwili vya akiba kwa ajili ya "operesheni za kazi" kaskazini.
26 Septemba 2024

Tuyajenge

Vipindi vya Redio

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Iliyosomwa zaidi