Pipa (original) (raw)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aina mojawapo ya pipa.
Pipa (kutoka neno la Kihindi; kwa Kiingereza: barrel) ni kiwekeo cha duara kirefu ambacho kilitengenezwa kwa plastiki, mbao au chuma na ambacho kinatumika kuhifadhi viowevu.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Chisholm, Hugh, mhr. (1911). "Barrel" . Encyclopædia Britannica (tol. la 11th). Cambridge University Press.
| Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|---|