Ngedere (original) (raw)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tumbili)
| Ngedere |
|---|
| Uainishaji wa kisayansi |
| Domeni: Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini) Himaya: Animalia (Wanyama) Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni) Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao) Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu) Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima) Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima) Familia ya juu: Cercopithecoidea Familia: Cercopithecidae (Wanyama walio na mnasaba na kima) Nusufamilia: Cercopithecinae (Wanyama wanaofanana na kima) Kabila: Cercopithecini (Kima) Jenasi: Chlorocebus (Ngedere)Gray, 1870 |
| Ngazi za chini |
| Spishi 6: C. aethiops (Linnaeus, 1758) C. cynosyros (Scopoli, 1786) C. djamdjamensis Neumann, 1902 C. pygerythrus F. Cuvier, 1821 C. sabaeus (Linnaeus, 1766) C. tantalus Ogilby, 1841 |
Ngedere au tumbili ni aina za kima wa jenasi Chlorocebus katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara, lakini spishi kadhaa zimewasilishwa katika sehemu nyingine za dunia.
Chlorocebus aethiops, Ngedere Habeshi (Grivet)
Chlorocebus cynosuros, Ngedere wa Kongo (Malbrouck Monkey)
Chlorocebus djamdjamensis, Ngedere wa Bale (Bale Monkey)
Chlorocebus pygerythrus, Ngedere Mashariki (Vervet)
Chlorocebus sabaeus, Ngedere Magharibi (Green Monkey)
Chlorocebus tantalus, Ngedere wa Afrika ya Kati (Tantalus Monkey)
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.