Mary Charwi - Academia.edu (original) (raw)
Papers by Mary Charwi
Ethnobotany Research and Applications, Sep 14, 2023
Journal of Herbs, Spices & Medicinal Plants
Kioo cha Lugha, 2013
Mofolojia ya vitenzi ni uwanja muhimu katika lugha yoyote ile duniani kutokana na ukweli kuwa kil... more Mofolojia ya vitenzi ni uwanja muhimu katika lugha yoyote ile duniani kutokana na ukweli kuwa kila lugha ina vitenzi na tabia ya vitenzi hutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine. Vitenzi vya lugha za Kibantu vina sifa ya kuambikwa viambishi awali na viambishi tamati. Mojawapo ya viambishi tamati ni viambishi vya kauli mbalimbali. Viambishi hivi huweza kuathiri muundo wa kitenzi ama muundo wa tungo kwa ujumla katika kuleta maana inayohusika. Mfano, kitenzi elekezi huweza kuwa si elekezi, si elekezi huweza kuwa elekezi ama kitenzi elekezi kuhitaji yambwa nyingine. Makala haya yanalenga kuelezea matokeo ya vitenzi vya Kikuria baada ya unyambulishaji na idadi ya viambishi vinavyoweza kuwekwa pamoja kwenye kitenzi.
Journal of Environmental Law, 2017
Ethnologia Actualis, 2019
Naming can sometimes be associated with particular situations or someone’s birth. This study inte... more Naming can sometimes be associated with particular situations or someone’s birth. This study intends to find out the association between Datooga names and socio-cultural backgrounds. The study employs a qualitative research approach, in which case the collected data was subjected to descriptive analysis. Data have been collected from Datooga speaking students studying at the Dar es Salaam University College of Education, through Interviews and Questionnaire. The analysis is based on the Kripke’s three arguments in naming as described by Speaks (2007). The theory explains how naming is achieved with reference to the modal argument, the semantic argument and the epistemic argument. The findings of the study have revealed that in the Datooga society, naming is associated with different phenomena particularly time of birth and prevailing situations, traditions, norms and customs.
This paper describes vowel harmony in Kuria, an Eastern Bantu Language spoken in Tanzania and Ken... more This paper describes vowel harmony in Kuria, an Eastern Bantu Language spoken in Tanzania and Kenya. It is indicated that Kuria has seven vowels which are contrastive in length, and which are not freely distributed. Two types of vowel harmony are explained, namely ‘the stem controlled vowel harmony’ and ‘the dominant vowel harmony’, each of which could be progressive or regressive. The paper also shows the distribution of Kuria vowels in nominal prefixes and pre-prefixes. Essentially long vowels can occur in any position but not in initial and final positions. The phonological processes that affect Kuria vowels are also accounted for.

Utafiti
Ikisiri Viambishi nafsi ni miongoni mwa viambishi ambatizi ambavyo hupachikwa mwanzoni mwa vitenz... more Ikisiri Viambishi nafsi ni miongoni mwa viambishi ambatizi ambavyo hupachikwa mwanzoni mwa vitenzi vya Kibantu (yaani kabla ya mzizi). Kazi kubwa ya viambishi nafsi ni kuleta upatanisho wa kisarufi. Tafiti nyingi zinaonesha kuwa viambishi vya uambatizi hutokea kabla ya mzizi wa kitenzi, tofauti na vile vya unyambulishaji vinavyobadili kategoria au maana vinavyotokea baada ya mzizi. Makala hii inachunguza nafasi ya viambishi nafsi katika kitenzi cha Kikuria (E43). Data iliyotumika ni ya maktabani, hasa kutoka kwenye chapisho la Charwi (2017) na kutoka maandiko mengine ya Kikuria. Nadharia iliyotumika ni Nadharia ya Uambatizi kama inavyoelezwa na Stump (2001), ambayo inafafanua kuwa kila neno linaloambikwa ndani ya sentensi linabeba seti ya sifa za kimofosintaksia. Makala hii imebaini kuwa viambishi hivi vinaweza kutokea kabla au baada ya mzizi wa kitenzi na havibadili kategoria au maana ya neno.