Gundi (original) (raw)
Gundi ikitoka katika chupa.
Gundi (kwa Kiingereza: Adhesive, glue, cement, mucilage au paste[1]) ni majimaji mazito yanayoweza kutokana na miti n.k. ambayo hutumika katika kugandisha au kuunganishia vitu mbalimbali, kwa mfano karatasi.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Pike, Roscoe. "adhesive". Encyclopædia Britannica Online. Encyclopædia Britannica Inc. Iliwekwa mnamo 9 Aprili 2013.
{{[cite web](//sw.wikipedia.org/wiki/Kigezo:Cite%5Fweb "Kigezo:Cite web")}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari.