Hoteli (original) (raw)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hoteli

Hoteli mojawapo.

Hoteli ya Llao Llao huko Bariloche (Argentina).

Hoteli (kutoka neno la Kiingereza hotel linalotokana na lile la Kifaransa hôtel ambalo, sawa na neno "hospitali", lina asili katika Kilatini hospes, yaani mgeni) ni jengo kubwa lenye vyumba vingi, ambapo watu wanaweza kulala wakati hawapo nyumbani.

Wenye sehemu hizo wanakodisha chumba kwa siku yoyote. Wanatoa vyumba vya kulala, na kwa kawaida hata chakula, hatimaye kwa ajili ya huduma hizo hutaka pesa, ambazo kiasi chake hutegemea ubora wa jengo.

Pia kuna hoteli ambapo mikutano hufanyika.

Aina za hoteli hulinganishwa na wingi wa vyumba na eneo ambalo hoteli hupatikana.

Aina za vyumba hutazamwa kulingana na aina au idadi ya vitanda vilivyomo ndani yake.

  1. "Resorts, Different Resorts, Types of Resorts | Elite Cruises and Travel". Elite Cruises and Travel | Attentive Service | Deluxe Land Tours | Custom Itineraries | Luxury Travel (kwa American English). 2019-08-04. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-05. Iliwekwa mnamo 2020-02-05.
  2. "Difference Between Hotel and Inn | Difference Between" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-02-05.
  3. "Why is an Airport Hotel Different from the Normal Hotels?". Global Hospitality Portal (kwa American English). 2017-02-11. Iliwekwa mnamo 2020-02-05.
  4. "Motel - Definition Glossary for Hotel Revenue Management Terminology". Hotel Management Company - Hospitality Group - Xotels Ltd. (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-02-06.
  5. "Single room definition and meaning | Collins English Dictionary". www.collinsdictionary.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-07.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hoteli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.