Msimbo chanzo (original) (raw)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Msimbo chanzo kwa kuchapa "Jambo ulimwengu" kwenye Python.

Katika utarakilishi, msimbo chanzo (kwa Kiingereza: source code au source file) ni waraka unamoandikwa msimbo wa programu kwenye lugha ya programu. Msimbo chanzo unatumiwa na wanaprogramu ili kuumba programu ya tarakilishi.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.