Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (original) (raw)
Yaliyomo
afa
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
afa (wingi maafa)
- tukio mbaya ya kusikitisha
- mtu anayewatendea wengine mabaya
- mtu mwenye nuksi au anayehusiana na bahati mbaya.
- janga au msiba mkubwa.