Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (original) (raw)

Yaliyomo

fulani

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

fulani (wingi fulani)

  1. Neno hili linatumika wakati hatutaki kutaja kitu maalum, lakini tunataka tu kuashiria uwepo wake.
  2. jambo lolote