Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (original) (raw)
Yaliyomo
koleo
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
- chombo cha mkono chenye taya mbili kinachotumika kushika, kubana au kuvuta vitu; hutumika katika kazi za ufundi, umeme na matengenezo