Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (original) (raw)
Yaliyomo
kuvu
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
kuvu (wingi kuvu)
- Ufalme wa viumbe ikiwa ni pamoja na chachu, ukungu, na uyoga.
- ni kiumbe hai ambacho si mmea wala mnyama.
- ni kiumbe ambacho huishi kwa kutegemea viumbe hai wengine, mara nyingi kwa kuoza, au kwa kushirikiana na viumbe hai
Kiingereza;fungi