Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (original) (raw)
Kiswahili
[hariri]
Nomino
[hariri]
nomino
Nomino (kutoka Kilatini: nōmen, jina) ni aina ya maneno inayotaja jina la mtu, mnyama, kitu, mahali, sifa au wazo. Nomino hutokea kwa umbo la umoja au uwingi: kitu, vitu; mtu, watu.
Tafsiri
[hariri]
ina makala kuhusu:
| Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |
|---|