Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (original) (raw)
Yaliyomo
satelaiti
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
(wingi; satelaiti)
- kitu cha asili au kilichotengenezwa na binadamu, kinachozunguka gimba kubwa zaidi kama sayari au nyota. Satelaiti za kutengenezwa hutumika kwa mawasiliano, utafiti, na uongozaji
Kiingereza satellite