Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (original) (raw)

Yaliyomo

stroberi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

  1. tunda dogo jekundu lenye harufu na ladha tamu, hutoka jenasi *Fragaria* katika familia warosasi; huliwa mbichi au hutumika kutengeneza juisi, jamu na vyakula vitamu