Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
chachu (wingi)
kitu kali
kuvu ndogo inayotumika kubadilisha sukari kuwa pombe au gesi ya kaboni hasa katika kutengeneza mkate na vinywaji.Mfano: mikate hii wametengeneza kwa kutumia chachu.
hamira