Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (original) (raw)
Yaliyomo
hisa
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
hisa
- Hati inayowakilisha sehemu ndogo ya umiliki katika kampuni. Mwenye hisa ana haki ya kupata gawio la faida na kushiriki katika maamuzi ya kampuni kulingana na idadi ya hisa anazomiliki; stock.