Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (original) (raw)

Yaliyomo

mdalasini

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

mdalasini (wingi midalasini)

  1. mti unaotoa magome yanayotumika kama kiungo cha chakula
  2. gome la ndani la mti wa mdalasini ambalo hukatwa, kukaushwa, na kutumika kama kiungo katika chakula au dawa. Lina harufu tamu na ladha ya kipekee ya joto.