Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (original) (raw)

pete

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

pete (wingi mapete)

  1. pambo la duara linalovaliwa kwenye kidole
  2. ni kikapu kisicho na ubao wa nyuma kinachokaa juu ya nguzo, na kazi yake ni kutumika kama mahali pa kufunga magoli.

matumizi katika sentensi

[hariri]