Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (
original
) (
raw
)
Yaliyomo
Mwanzo
1 Kiswahili
1.1 Nomino
2 Tafsiri
desturi
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
desturi
mazoea
jambo la kawaida la kutendwa kila
siku
Mila au taratibu zinazofuatwa na jamii kwa muda mrefu na kurithishwa kizazi hadi kizazi
Mfano:Ni desturi katika jamii nyingi za Kiafrika kuwaheshimu wazee
Kiingereza:
custom
(en)
(1) *Kiingereza:
tradition
(en)
(2)Kiingereza:
habit
(en)