Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru (
original
) (
raw
)
Yaliyomo
Mwanzo
1 Kiswahili
1.1 Nomino
1.2 Tafsiri
sayari
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
The_Blue_Marble_(remastered)
sayari
mojawapo ya
madude
yanayozunguka
jua
Mwili
wa angani wenye umbo la tufe ni mkubwa kuliko asteroidi, usiozalisha mwanga wake wenyewe, unaozunguka nyota moja au zaidi.
Kiingereza:
planet
(en)
Kifaransa:
planète
(fr)